Wakatoliki
Sharing Faith, Spreading Hope: A Catholic Community Blog
Category: Prayers
-
Salamu María, umejaa neema, Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
-

Mimi… (Jina) mkosefu, maskini mwenye imani haba, siku ya leo ninafanya tena upya ahadi zangu za Ubatizo, nikijiaminisha katika mikono yako, Pa Moyo Safi wa Bikira Maria. Ninamkataa shetani daima na mambo yake yote na kazi zake na ninajitolea kabisa kwa Yesu Kristo, hekima ya umwilisho, kwa kuubeba msalaba wangu na kumfuata siku zote za…